Makosa ya Barabarani

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
Habari wana jukwaa,

Naomba msaada wa kisheria juuu ya kakosa ya barabarani, kuna gari nimepanda lilikua limewekwa kitambaa me anzo wa kiooo cha mbele mwanzo hadi mwisho kama vile mtu anavyoweka tinted kwa juu ya kioo cha mbele know know a kuzuiya jua nadhani kwa malengo mawili.

1. Kipunguze muangaza wa jua
2. Dereva alichulia kama pambo la gari.
Ila alitokezea askari akalikagua akamshtaki dereva kwa kusema kua ameweka kitambaa sehemu ya mbele na haitakiwi kama kawaida ya dereva wa daladala na trafiki hapo wakamuita bwana rushwa atatue mzozo kati yao.

Maswali.
1. Je, hilinkweli ni kosa kuweka kitambaa ama tintedi sehemu ya juu ya kioo cha mbele cha gari?
2. Kama ni kosa ni ipi adhabu yake kisheria?
3. Kama sio kosa ama sheria haikusema katika hilo na jalada likienda kwa uaji tutahesabu hatuna kesi.
4. Shahidi wa kosa kama hili hua ni nani kama askari atakia pekee.
5. Je, kukataaa kosa ka hili kunalazimika wewe kukaa rumande ili akirudi kukamata aje?
6. Na ni kwa nini makosa ya barabari mtu akishtakiwa tuuu hukubali kosa lake mbadala wa kukataaa

Natanguliza shukrani

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…