Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Meko ndio mropokaji na kilaza kama wewe dada yakeTanzania hakuna wana harakati wala wapinzani, kuna waropokaji wajuaji wenye njaa, wakilushiwa fupa lazima wakimbilie, si Zitto, Lissu au Mbowe wote wana price tag.
Tukubali kwamba nchi au wanamikakati wa siasa za Tanzania waliopo Sasa wamekosa mikakati...
Wanajifanya kununua wanasiasa wasio na msimamo ili kuwarubuni wanaowaita mabeberu wasiwapige pini. Hawajui kuwa siasa za dunia hii zinatawaliwa na hao wanaowaita mabeberu na wanalolifanya wala sio jipya maana lilishawai kufanywa hapo Kongo tu na Mobutu SesekoTukubali kwamba nchi au wanamikakati wa siasa za Tanzania waliopo Sasa wamekosa mikakati.
Tukubali kwamba dola imekwama sehemu katika kuplan na kutekeleza mikakati yao..
Matumizi ya akili yamewekwa pembeni. Na hapo ndo kuna shidaTukubali kwamba tumekuwa tunatumia nguvu na amri kwenye Mambo yanayohitaji mikakati.