Makosa ya Jinai: Pale Mwanaume anapobakwa

Makosa ya Jinai: Pale Mwanaume anapobakwa

Hivi mwanaume akibakwa kwanini haruhusiwi kwenda mahakamani na kusema kabakwa?

msaaada jamani kwa wanaojua sheria.
Tupe tafsiri ya kubaka kwanza kabla ya kukupa jibu la swali lako
 
Kama ulikua hutaki kufanya ngono, JE ni kwanini ilisimama?
Mwanaume habakwi[emoji1][emoji2]
 
Back
Top Bottom