Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwani balozi Polepole alifanyaje?Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umako wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Nakubaliana na wewe... Maana hizi ndizo akili za kitanzania.UNAJALI PROTOKO AU UJUMBE. HATA ANGEJIPOST ANAKIMBIA NA KUSEMA YALE. UJUMBE UMEFIKA.
Aliasi.Kwani balozi Polepole alifanyaje?
Hiyo ni TAARIFA KWA UMMA siyo barua kwa Rais.Barua imeandikwa kutoka kwa makamu wa raisi kwenda kwa ofisi ya makamu wa raisi
Duh
Ya Ndugai ilikuwaje ?Kwa kua ni tukio la kwanza tokea kupatikana kwa uhuru hatuna rejea ya usahihi kwa kulinganisha.
Ila kwa ujumla kuna makosa makubwa sana kuanzia ya kimantiki na kimuktadha na hio kiprotokali.
Ndio maana tunadhubutu kusema imendikwa si kwa mkono wake, pengine hata yeye anashangaa kuoona ila ndio imekwisha kuwa hivyo.
Bahati mbaya hawana nafasi ya kuja kueleza kilichotokea.Ya Ndugai ilikuwaje ?
Wanajua wanachofanyq....asiposema wakajibu kuwa wamemtenguq au vinginevyo ?? Maana sio kiroho safi ni mtifuanoo hapo mkuuKiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umako wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umako wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.