Makosa ya kushitakiwa Werema haya hapa

Makosa ya kushitakiwa Werema haya hapa

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
Kosa la kwanza ni ABUSE OF POSITION contrary to section 31 of the Prevention and Combating of corruption Act. kosa hili litamfaa kwasababu aliishauri vibaya serikali kwa manufaa yake mwenyewe (kwenye list ametumiwa hela ndio maslahi yake hayo). kosa hili ushahidi wote upo.
 
adhabu yake ni nini mkuu?
 
miaka 3 jela na hiyo hela 1.6 bilion alizopokea atazirudisha.
 
miaka 3 jela na hiyo hela 1.6 bilion alizopokea atazirudisha.
ni kwa kosa moja nafikiri, hizo abuse of position unaweza kuona zipo count hata hamsini hivyo piga miaka yako hiyo uliyotaja mitatu mara count hamsini, atakuwa na miaka 150 jela..hahahaha.
 
Mwanasheria WA serikali anayokinga ya kutopewa adhabu ya kisheria kwa kutoa ushauri wa kisheria, labda iyo ya morality ...ya kupewa fedha ya kifisadi, wakome kutuibia hela!!
 
Back
Top Bottom