Kosa la kwanza ni ABUSE OF POSITION contrary to section 31 of the Prevention and Combating of corruption Act. kosa hili litamfaa kwasababu aliishauri vibaya serikali kwa manufaa yake mwenyewe (kwenye list ametumiwa hela ndio maslahi yake hayo). kosa hili ushahidi wote upo.
miaka 3 jela na hiyo hela 1.6 bilion alizopokea atazirudisha.
ni kwa kosa moja nafikiri, hizo abuse of position unaweza kuona zipo count hata hamsini hivyo piga miaka yako hiyo uliyotaja mitatu mara count hamsini, atakuwa na miaka 150 jela..hahahaha.miaka 3 jela na hiyo hela 1.6 bilion alizopokea atazirudisha.