mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Makosa ya 2015 na 2020 kupata wabunge bila Kupingwa yasijirudie tena, kuna haja ya kupata wabunge waliopita kwa jasho ili wakifika bungeni wafanye Kazi sio ndio ndio zinakuwa nyingi baadae wakitoka nje ya bunge nafsi inawahukumu.
Kumbukeni mnachokipitisha leo mtakiona madhara yake baada ya miaka 5 mbele ukishatoka bungeni.
Kumbukeni mnachokipitisha leo mtakiona madhara yake baada ya miaka 5 mbele ukishatoka bungeni.