Pre GE2025 Makosa ya mwaka 2015/2020 kwenye kuchagua wabunge yasijirudie tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
Makosa ya 2015 na 2020 kupata wabunge bila Kupingwa yasijirudie tena, kuna haja ya kupata wabunge waliopita kwa jasho ili wakifika bungeni wafanye Kazi sio ndio ndio zinakuwa nyingi baadae wakitoka nje ya bunge nafsi inawahukumu.

Kumbukeni mnachokipitisha leo mtakiona madhara yake baada ya miaka 5 mbele ukishatoka bungeni.
 
UNA HOJA USIKILIZWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…