Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

Kuonewa kwa watu wanaotofautiana na Magu ndo jambo kuu linaloenda kuuangusha utawala wa magufuli mwaka huu.
 
Umenena vema lakini siyo sana.
Tabia yake mheshimiwa ni hiyo tuionayo.
Ni mtu wa kufanya mambo kwa misuli kwa kinywa chenye maneno ya ovyo.
 
Atawanyuka kweli mwaka huu.
 
Na haya ndo matokeo ya kumuonea mtu. Kila kitu kinachomuhusu kitaonekana cha kuvutia

Alionewa na nani? Huo ni mshahara aliolipwa kwa kuwahadaa wengine waingie kwenye madhila ya maandamano, kumbe yeye anasubiri mabilioni ya EL.

Bado haja pata fundisho. Hotuba zake mara zote ni kuhimiza maandamano.
 
Umenena vema lakini siyo sana.
Tabia yake mheshimiwa ni hiyo tuionayo.
Ni mtu wa kufanya mambo kwa misuli kwa kinywa chenye maneno ya ovyo.
Shida ndiyo hiyoo. Kujisahau na kudhani Tanzania ni sawa na ile nyumba yake kule Chato kwamba akikohoa ina jukikana baba mwenye nyumba yupo.
Wasaidizi wake wana shindwa kumuambia mwisho wa mipaka yake linapo kuwa jambo la kitaifa. Hasa ukuchukulia maanani hana diplomasia ya utawala.
Kumbuka maneno ya Mh. Kikwete juzi kule Lupaso. Kwamba kiongozi anae penda sifa ni hatari. Kiongizi asiye penda kupingwa ni hatari. Hapo ndipo tulipo kwa sasa.. Natmani sana ajifunze. Kwamba yeye ni kiongozi na sio mtawala... Hata Biblia in sema Mungu aliwatuma Mitume wakawe Viongozi na sio watawala..
 
Nani alikwambia kila upuuzi lazima usikike hadharani ?jamaa yenu aspojirekebisha atazimiwa mic sana tu.
Soma Sheria ya maudhui mitandaoni
 
Alionewa na nani? Huo ni mahaharaj aliolipwa kwa kuwahadaa wengine waingie kwenye nadhila ya maandamano, kumbe yeye anasubiri mabilioni ya EL.

Bado haja pata fundisho. Hutuba zake makazi wake ni kuhimiza maandamano.
Mataga mbona kama umechanganyikiwa??? Andika vizuri basi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Huyo ndo Lissu. Na bado!!! Picha halisi mtaiona hapo October ya Malawi yanavyoenda kutokea Tanzania
 
Magufuli harudi ikulu baada ya uchaguzi wa October 2020. Wengi hawataamini ila huu ndo ukweli wenyewe. Sura halisi ya watanzania ataiona mwaka huu.
Inshaallah iwe hivyo

Aaaameeenn
 
Very Deep Mkuu.. Ukweli mtupuu..
 
Mataga mbona kama umechanganyikiwa??? Andika vizuri basi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Huyo ndo Lissu. Na bado!!! Picha halisi mtaiona hapo October ya Malawi yanavyoenda kutokea Tanzania

Matumaini hewa, endelea kukua upate akili, Hizi zote ni hatua za kupitia mwisho utajua ukweli. Jambo la muhimu uwe na akili yenye kumbukumbu. Usiwe na ya kuku.
 
Nani alikwambia kila upuuzi lazima usikike hadharani ?jamaa yenu aspojirekebisha atazimiwa mic sana tu.
Soma Sheria ya maudhui mitandaoni
Ila jua tu mwisho wa yote ni October 2020. Huyo mnaemzimia mic baada ya October 2020 ndo atakuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania
 
Matumaini hewa, endelea kukua upate akili, Hizi zote ni hatua za kupitia mwisho utajua ukweli. Jambo la muhimu uwe na akili yenye kumbukumbu. Usiwe na ya kuku.
Tukutane October 2020. Nitakukumbusha humu
 
Hivi wakati tunampa Magufuli miaka mingine mitano ya kuendelea kuharibu nchi yetu,umri na maisha yetu vitakuwa vimesimama?just asking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…