Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

Tufafanulie mambo ambayo anajifanya anajua kumbe hajui, na wewe unajua ila hujagombea urais.
 
walichokifanya ITV na Radio one ni kweli wanajituma sana lakini watapata fadhila zao wakati ukifika.
#Ni_yeye
 
Mbona huwa wanarusha anayoongea Magu na huwa ni mabaya na ya aibu.

Try again.
 
Tatizo walianza kampeni mapema mno wameshindwa kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja watu tunaishi kwa hofu sura za vijana zimezeeka duu!
Kwahiyo lisu ayainua kipato chako ukiwa nyumbani. Amka ufanye kazi kijana. Usije jikuta unaliwa ukisubiri vya bure
 
SASA hiv mnaanza kutafuta wa kumuangushia jumba bovu? Hakuna cha wasaidizi wala nini yote haya ni MAGUFULI kasababisha yeye hashauriki tena alitangaza hadharani leo unazungumzia washauri kweli?
 
Japo tupo makabila mengi lakini kuna vipindi fulani vya tawala walipendelewa sana makabila machache kwa kipindi kirefu.
Lakini mjomba Magu yeye ameyakumbuka makabila yote na kupeleka maendeleo kote.
Musitake kutukumbusha ubaguzi wa maendeleo uliofanyika huku tukiitana sote ndugu.
 
Kwa hiyo vuvuzela linaogopwa hadi kulizimia maiki.

Na wakati wa kampeni huko majukwaani mtazima sauti yake pia?
 
Baadaye utafute editor mzuri akufundishe kuandika hilo neno Ujasiriamali ili usije kuandika ujasiliamali kisha watu wakakipuuza kitabu chako.
 
Atawanyuka kweli mwaka huu.
Umeonaee, yaani Jiwe linakwenda kupasuliwa majukwaani mchana kweupeeee, kwa maana ITV hawataweza kuzima sauti pale Lissu atakapokuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kampeni za uchaguzi.

Meko atavimba hadi apasuke mwaka huu.
 
Shida huwa mna toka usingizini na kuchangia bila kuwa na data ya ni kitu gani kina ongelewa.
 
Umetisha sana mkuu. Umeongea mambo mengi ila umeeleweka. Hilo la Polepole na Bashiru kununua wapinzani ndio jipu lililoiva tayari.

Pale watakapomrejesha Lijuakali na Mtulia kugombea ubunge ndio watajua CCM ina wenyewe. Iringa wanajua walichomfanya Monica Mbega alipogombea na Mwakalebela.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Baadaye utafute editor mzuri akufundishe kuandika hilo neno Ujasiriamali ili usije kuandika ujasiliamali kisha watu wakakipuuza kitabu chako.
Asante kwa ushauri ,Naandika cha kimombo 'in entrepreneurship we learn how to do business not about business'
 
BE BLESSED
 
Amefanya mambo kisukuma sukuma ataona matokeo yake. Enzi za kulazimisha watu zimepita.
 
Mbona huwa wanarusha anayoongea Magu na huwa ni mabaya na ya aibu.

Try again.
Mtoto anaweza kumuliza mama yake kwanini hukumpa adhabu baba mbona kaacha uchafu hapa sebuleni kama mimi nawe umenyamaza tu?
Siyo kwamba nahalalisha kauli za mtu yeyote au nasema baba kakosea, I'm just showing you the reality, who has the power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…