Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

Mtoto anaweza kumuliza mama yake kwanini hukumpa adhabu baba mbona kaacha uchafu hapa sebuleni kama mimi nawe umenyamaza tu?
Siyo kwamba nahalalisha kauli za mtu yeyote au nasema baba kakosea, I'm just showing you the reality, who has the power.
Je baba huwa akikosea yuko tayari kujirekebisha?
 
Kete zinajicheza hadi kila wakiweka mtego unageuzwa kuwa fursa ya kuwamaliza wenyewe.
 
Mataga mbona kama umechanganyikiwa??? Andika vizuri basi 😀😀😀😀😀


Huyo ndo Lissu. Na bado!!! Picha halisi mtaiona hapo October ya Malawi yanavyoenda kutokea Tanzania

Labda sheria za uchaguzi zimebadilika. Kwa uelewa wangu, uakuzi wa Tume ya Uchaguzi haupingwi kwenye Mahakama yoyote. Kama kuna mabadiliko katika sheria tuelezwe
 
Ukabila kwanza

Wasukuma tukishajaa ndio mtakumbukwa na nyinyi wazaramo.

Ccm oyeeerrrree
 
Hotuba ya Lissu leo ni hatari. Moto wa kuotea mbali.
 
Lisu anaogopwa na Jeshi la polisi, NEC, msajiri, ccm, mahakama, magufuli,
 
Umeongea point nzuri sana na kizuri zaidi hujaweka no ya simu
 
naona umetumwa kumsafisha Magufuri. Magufuri aliishasema yeye ndio yeye. muache apate ujira wake, alijisahau kwamba mamlaka aliyonayo yanatoka kwa wananchi, akaanzisha maasi dhidi ya wananchi wanaofikiria tofauti na yeye.

hao wabunge aliwanunua yeye, na wengine aliwapa uwaziri sasa unataka kusemaje eti kuna watu hata magufuri hawajui ndio waliwahamisha, au unataka kusema kuna watu wamemshikia akili magufuri,
 
Toka alivo tuwa lissu mataga na baba yenu mmekuwa wapole sana, nashangaa wewe unahasira mno, yote kwa yote Lissu siyo lever zenu, mwenyekit wenu hana ubavu wa kumfikia lissu hata kidogo
 
CCM ni weupe kichwani ,hawajawahi kujibu au kuwa na hoja zaidi ya ubabe wa kutumia vyombo vya dora,kwanza ni waoga sana ukiwatwanga swali wao watasema umewatukana
 
Haiwezekani kama Chama, tufanye kazi kubwa ndani ya Miaka mitano. Tufanye kampeni sisi wenyewe, tuimarishe uchumi wetu, harafu tushindwe kuwa na hoja za kumjibu Tundu Lisu, ambaye hakuwepo nchini kwa muda mrefu mpaka tupate msaada wa watu wanaojituma kuzima maiki za Lissu ili asisikike!

Hapa Kuna tatizo! Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wasalimie huko Magu- Mwanza.
 
Wanazidi kuwapa watu matamanio ya kutafuta kujua Lisu kaongea nini kila leo!lakini haya yote si bure kuna nguvu fulani ndani ya Lisu!muda utasema!
 
Nani alimpa Rais watu wa hovyo wasiomshauri vizuri? Huyo aliyempa washauri hao hovyo maelfu kati ya Raia milioni 50 alikosa kuchagua washauri mahili hata 50 tu wamsaidie Rais? Wananchi mtaani wanaona kipenzi chao kinavyodhalilishwa na washauri hovyo, yeye haoni na akawatumbua pamoja na hao wanaompatia hao wasaidizi hovyo? Alipoingia tu madarakani alitumbua washauri wengi aliyowakuta kusafisha nyumba, bado hajagundua alitupa jalalani nafaka akabakiza mabua bila chakula? Katika kupata washauri wazuri akaanza kuteua washauri wake mwenyewe, mbona hali bado vilevile hadi kusababisha teua/tengua ya kila siku?
 
Binafsi nimekaa nimetafakari hivi huyu Tundu Lisu ametokana na mitaala ya shule zetu hizi?kwa kweli anatumia vyema ubongo wake ktk hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…