Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

Chini ya hizi sheria kandamizi za kinyangogo kiukweli lazima wakae karibu na swichi hasa pale MWANAUME LISSU AKIONGEA, hizi sheria za kipuuzi ni za kuongozea ng'ombe na siyo watu na akili zao kama LISSU ndo maana wanapata taabu tangu bwana wa burigi akamate usukani li nchi limekuwa la hovyo hovyo ngoja wanyooshwe na mnyooshaji mh. LISSU keshatia maguu.
 

Tatizo la mzee wa chattle ni misifa, aliteua walevi wa baa kwa hila na sifa alifukuza watu wengi wenye weled na kuweka makanjanja kama yule bwana aliyeruka tikitaka na taulo kule jimboni kigamboni kabla wajumbe hawajamshughulikia, pia kujifanya kuwa ana akili nyingi kisa kukariri idadi ya mayai ya samaki ziwa tanganyika akavuruga nchi.

Njaa ikatamalaki hadi ndani ya ccm, hali ikawa mbaya kila wakati utasikia habari za Bombardia, ndege inakuja kutoka Canada mawaziri wote na makatibu wakuu wanaacha kazi wanaandamana kwenda uwanja wa ndege kuipokea, ushamba uliopitiliza.
 
Eti w
Eti washauli wamekuwa kina polepole na Tid.
 
Na mataga wanamuongezea sana umaarufu yaani bila wao kujua yaani
 
Alionewa na nani? Huo ni mshahara aliolipwa kwa kuwahadaa wengine waingie kwenye madhila ya maandamano, kumbe yeye anasubiri mabilioni ya EL.

Bado haja pata fundisho. Hotuba zake mara zote ni kuhimiza maandamano.
Maandamano ni haki ya kila raia duniani kote, ni sawa na kwenda mahakamani kutafta haki.Sasa unapomzuia mtu asiende mahakamani kutafta haki yake sina hakika kama utakuwa njema kichwani.
 
Nani alikwambia kila upuuzi lazima usikike hadharani ?jamaa yenu aspojirekebisha atazimiwa mic sana tu.
Soma Sheria ya maudhui mitandaoni
Kuna pingamizi kule Rais kahonga mkuranga mwaka huu mnalo
 
Maandamano ni haki ya kila raia duniani kote, ni sawa na kwenda mahakamani kutafta haki.Sasa unapomzuia mtu asiende mahakamani kutafta haki yake sina hakika kama utakuwa njema kichwani.

Baada ya muda si mrefu utasema Ushoga ni haki ya kila rai ulimwenguni. USA wanastrugle wakati huu kuvunja maandamano baada ya kuruhusu uhuru holela.
 
Baada ya muda si mrefu utasema Ushoga ni haki ya kila rai ulimwenguni. USA wanastrugle wakati huu kuvunja maandamano baada ya kuruhusu uhuru holela.
Hata hakimu anastrugle ili kutoa hukumu, kuhusu ushoga usinilishe maneno, kama we kweli ni kidume simama uupige marufuku huo ushoga.
 
Aisee umeongea ukweli machungu sana lakini hio ndio hali halisi, huyu Lisu ilivyo ni mwiba machungu sana, fikiria kwamba jamaa walimuaminisha mh kuwa upinzani umekufa lakini ionekanavyo sasa upinzani ni zaidi ya mwaka 2015.
 
Ni yeye 2020
 
Na
Naona unateseka sana, vumilia tu Lissu awanyooshe waimba mapambio na yesu wao wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…