Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
sio kila mtu anapata habari haraka, kuna wengine wanatoko kuelekea shughuri za kila iku bila kujua ili wala lile,Ikitangazwa Curfew hamna atakayejipendekeza kutoka mzee ule moto sio poa
Nadhani haukuingia barabarani ile Chuma ikimkuta wa karibu yako ikamfumua ubongo wewe hautamani tena kuendelea na safari
Achana na hizo assumptions kuwa risasi zitawaishia kwa SMG tu magazine inakaa risasi 30 hapo wakiamua wawalenge watawadondosha hata watu 20
Safari hii kila mtu atajitahidi kuwa makini na hiyo tarehe wengi watakuwa majumbani mwao tofauti na ile ya tarehe 29sio kila mtu anapata habari haraka, kuna wengine wanatoko kuelekea shughuri za kila iku bila kujua ili wala lile,
Gov inajua internatinal society is now whatching kwa umakiniDaah sijui ndg yangu maana nahisi watakufa wengi zaidi
Shauri vitu GaniYale ya kabla ya Oktoba 29 ndiyo yanarejea tena tujipange ikiwa litatokea la kutokea uwe na chakula ndani na vitu muhimu kwasababu hatuwezi kuona yajayo ila tunahisi
Polisi tayari ni maadui itakuaje hapoWaandamanaji waelewane na vyombo vya ulinzi na usala ili maandamano yafanyike kwa amani