johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
2025 kama CCM itashindwa kuwapitisha Wagombea wa Ubunge na Udiwani wanaokubalika na Wananchi basi Tutapata Tabu sana
Wabunge na madiwani wengi wa sasa siyo Chaguo la Wananchi bali Wateule wa Mwendazake Shujaa Magufuli
Hata tunayoyashuhudia baada ya Kura za maoni CCM za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni mvua ya rasharasha mvua ya MAWE ni 2025
Jumaa Mubarak 😀