S Swahili_Translator Member Joined Oct 4, 2023 Posts 6 Reaction score 14 Oct 5, 2023 #1 Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).