Maktaba (library) ngapi zilijengwa baada ya Uhuru?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo.

Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua maktaba, hata wale wanajiandaa na mitihani, huwa wanasomea nyumbani, darasani au chini ya mti. Watu wengi hawana uwelewa hata wa matumizi ya Maktaba.

Maktaba ni sehemu ya kujiongezea maarifa. Huwa kuna vitabu vya nyanya zote. Kuanzia vitabu vya kilimo na ufugaji, kujiandaa na mitihani ya kidato cha nne na sita, vitabu vya ufundi, mitindo, tekinolojia nk.

Maktaba huenda wazee, vijana na hata watoto huwa wanawekewa sehemu rafiki kwa watoto na vitabu vyao. Nchi nyingi kwa kitambaa maendeleo ya tekinolojia, Maktaba kuna computer na kuna wafanyakazi wa kufundisha masomo ya awali ya matumizi ya computer.

Magezeti ya kila siku pia huwapo library kusaidia watu kupata habari na kuongeza maarifa. Wazee wastaafu wengi huduma magazeti ya kila siku library na hii ni sehemu yao ya maisha.

Hizi Wilaya na Mikoa mipy inayofunguliwa hutasikia Maktaba ya Wilaya au Mkoa. Zaidi ya Maktaba ya Tanga na ile ya DarEsSalaam ambazo zote zilijengwa na Wakoloni sijawahi kuona Maktaba mpya ya Wilaya.

Maeneo ambayo CCM inayaita ya wanyonge, vijana wake wangejinuifaisha zaidi na matumizi ya Maktaba. Hata katika sera ya kuendelea kilimo, Maktaba zinaweza kuelemisha wananchi wengi juu ya mbinu ba faida ya ukulima wa kusasa kwa gharama nafuu.
 
Wataabza kusema ujenzi wa maktaba ya wilaya Vs ujenzi wa matundu ya vyoo mashuleni je kipi bora!

Shida tuliyo nayo ni umaskini wa fedha na umaskini wa akili! Na hapo ndipo mwafrica ataendelea kuwa chini asipo kuwa makini!
 
Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo.

Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua maktaba, hata wale wanajiandaa na mitihani, huwa wanasomea nyumbani, darasani au chini ya mti. Watu wengi hawana uwelewa hata wa matumizi ya Maktaba.

Maktaba ni sehemu ya kujiongezea maarifa. Huwa kuna vitabu vya nyanya zote. Kuanzia vitabu vya kilimo na ufugaji, kujiandaa na mitihani ya kidato cha nne na sita, vitabu vya ufundi, mitindo, tekinolojia nk.

Maktaba huenda wazee, vijana na hata watoto huwa wanawekewa sehemu rafiki kwa watoto na vitabu vyao. Nchi nyingi kwa kitambaa maendeleo ya tekinolojia, Maktaba kuna computer na kuna wafanyakazi wa kufundisha masomo ya awali ya matumizi ya computer.

Magezeti ya kila siku pia huwapo library kusaidia watu kupata habari na kuongeza maarifa. Wazee wastaafu wengi huduma magazeti ya kila siku library na hii ni sehemu yao ya maisha.

Hizi Wilaya na Mikoa mipy inayofunguliwa hutasikia Maktaba ya Wilaya au Mkoa. Zaidi ya Maktaba ya Tanga na ile ya DarEsSalaam ambazo zote zilijengwa na Wakoloni sijawahi kuona Maktaba mpya ya Wilaya.

Maeneo ambayo CCM inayaita ya wanyonge, vijana wake wangejinuifaisha zaidi na matumizi ya Maktaba. Hata katika sera ya kuendelea kilimo, Maktaba zinaweza kuelemisha wananchi wengi juu ya mbinu ba faida ya ukulima wa kusasa kwa gharama nafuu.
Pia unasema maktaba huongeza maarifa je unadhani ccm inapenda watu wawe na maarifa? Watu wengi wakiwa na maarifa wata watawala vipi?
 
Mimi kuna library nilikuwa napenda kwenda ni ya wilaya ila cha ajabu ni kuwa hadi librarian naye ananishangaa naenda hapo just kusoma tu sina kazi nyingine za kufanya!
 
Nikiwa darasa la 2 nilikuwa naenda ya kituo cha kazi cha mshua japo nisome some vitabu. Kuna kitabu kimoja nilikipenda ila English ndio hivyo tena, mwisho nilikiiba nikiwa na tumaini kuna siku lugha itapanda kidogo nikisome. Nashukuru Mungu kilikuwa kizuri kama nilivyo tegemea.
 
Sasa hivi lugha imepanda?
 
Back
Top Bottom