N Nigga X New Member Joined Jan 16, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Feb 5, 2024 #1 Wadau nilikuwa naomba maoni yenu juu ya changamoto zinazokabiliwa na maktaba wilaya uliyopo
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,433 Reaction score 1,176 Dec 6, 2024 #3 Nina wasiwasi sana kama wilaya niliyopo ina maktaba! Nadhani asilimia hata 70% ya wilaya zote Tanzania hazina maktaba!
Nina wasiwasi sana kama wilaya niliyopo ina maktaba! Nadhani asilimia hata 70% ya wilaya zote Tanzania hazina maktaba!