Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Nilikuwa member mtiifu nilenda pale kusoma zangu magazeti bure enzi zile za kazi kwenye magazeti.Gharama zake ni kama ifuatavyo:-
1. Kwa asiye mwanachama = Tsh. 1000 kila unapokwenda.
2. Kwa mwanachama = Tsh. 10,000 kwa mwaka. Hii itakuruhusu pia kuazima kitabu kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani.
Siku hizi wanatoza mkuu.Nilikuwa member mtiifu nilenda pale kusoma zangu magazeti bure enzi zile za kazi kwenye magazeti.
Kuwa mwanachama inamaanisha kulipia hii 10000?Gharama zake ni kama ifuatavyo:-
1. Kwa asiye mwanachama = Tsh. 1000 kila unapokwenda.
2. Kwa mwanachama = Tsh. 10,000 kwa mwaka. Hii itakuruhusu pia kuazima kitabu kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani.
Ndiyo mkuu.Kuwa mwanachama inamaanisha kulipia hii 10000?
sawa saw, ahsante kwa maarifa!Ndiyo mkuu.
Pamoja 🤝sawa saw, ahsante kwa maarifa!