Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Kwahiyo kuwa black christian conservative inaweza kuwa moja ya sababu za kuuliwa! Ni watu gani hao wenye chuki na christian conservatives hadi wapange mauaji?Malocom x alikuwa mwishoni mwa maisha yake alijitambua kama black Christian conservative na siyo nation of islam, ndiyo moja kati ya sababu walimuuwa,
Kwahiyo kuwa black christian conservative inaweza kuwa moja ya sababu za kuuliwa! Ni watu gani hao wenye chuki na christian conservatives hadi wapange mauaji?
Laki...Hicho cha mwaka 1965 ndio cha ukweli