MAKU AU MAKUZI NGOMA MPYA YA NAY WA MITEGO

MAKU AU MAKUZI NGOMA MPYA YA NAY WA MITEGO

Kulikuwa na haja au ulazima gani huyo mwanamke kucheza/kuchezeshwa huku amevaa hilo lichupi lake?


Nani kasema kwamba ndio itakuwa nzuri? Upuuzi mwingine sijui huwa nani anawashauri.
 
Wimbo wa hovyo,huyu jamaa anajaribu style ya darasa
 
Back
Top Bottom