super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 533
Kama vp ufungiwe tuKulikuwa na haja au ulazima gani huyo mwanamke kucheza/kuchezeshwa huku amevaa hilo lichupi lake?
Nani kasema kwamba ndio itakuwa nzuri? Upuuzi mwingine sijui huwa nani anawashauri.
Yeye mwenyewe anatamani ufungiwe au aitwe polisi ili apate kiki. Maana ngoma zake zote anazotoa siku hizi huwa zinabuma vibaya sana