Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC

Yani mpaka kero kila sehemu Lowasa Lowasa hamna mwingine jamaniiiii
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Yeriko kwa kupoteza mda wako kuandika,sijui Ku copy kama hao wanaosema hivyo ,ila kikubwa naheshimu muda wako na pia kiasi Fulani nimepata kujua Historia ya vita vya Israel na Marekani ...na hili la Kivu ndio kabisa linaonyesha kwanini wanyarwanda walikua na chuki Sana juu yetu baada ya kupeleka vikosi vya m23 nashaangaa wanaosema Habari ni ndefu lakini hakuna series ambazo hawajaangalia
 

Kumradhi ni vita vya Israel na palestina
 

Ubarikiwe sana mkuu
 
Hongera Yericko kwa andiko hili lililojaa historia.

Kuna kiasi gani cha ukweli ndani ya andiko hili nadhani si swali muhimu kwa sasa.

Shukrani mwanahistoria Yericko.

Jambo jema ndugu, karibu sana
 
Utashangaa watu wanamkumbuka JK, lakini nfo aliechangia pakubwa nchi kuwa na mikataba ya kishenzi katika kuvuna rasilimali za nchi na uendeshaji wa makampuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kufanya mauaji kwa uroho wa madaraka ni utamaduni wa tangu kitambo kwa maccm... Haya bwana Yericko hebu Rudi hapa utuelezee Samia na Kikwete wanatupeleka wapi na baada ya Samia kutoka hii inchi wamepanga kumwachia nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…