Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC


mkuu Yericko Nyerere

Pole na hongera kwa kuendeleza kilimo cha bamia hapo kijijini Mbutu, Kigamboni.

Takriban miaka 9 sasa tangu ubandike bandiko lako hili fikirishi. Mbona usiandike mwendelezo wa hili andiko maana ndani ya kipindi cha miaka 9 mengi yametokea na mengi yangali yanajili.

Upatapo muda, itapendeza zaidi ukipandisha toleo la pili la andiko hili.

Natamguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…