Nimepata habari from a very reliable source kuwa sita na mwandosya wamekubaliana sitta agombee urais akae miaka mitano amwachie mwandosya ambaye atakuwa waziri mkuu. nimedokezwa kuwa JK alipoanzisha dhana ya kujivua gamba alikuwa anataka kuwadhoofisha akina lowassa ili apate nafasi ya kumweka mtu wake. na ili kufanikisha ikabidi awatumia kina sitta kuwabomoa. ila sasa kina sitta wakawa wajanja kwa kumtumia nape wakaitumia hiyo dhana kujijenga. mkutano wa ccm mbeya jana ni mwanzo wa ushirika wa kundi la sit
Tutasikia mengi mpaka 2015
Wana JF nawomba mrejee spichi ya SS jana mbeya utaona jinsi language anayotumia SS inavyo co relate na hii hoja...incase you have not noticed SS anaongea as if anaauthority furani hivi. Anyway I am afraid hana track record nzuri either either...mnafiki...si mzalendo...mtu anayejijali yeye kwanza watz badae. Tukumbuke huyu ndie aliyeanza na bunge la tisa kwa kusimamia hoja kuwa posho na mishahara ya wabunge iongezwe na kwa hilo alifanikiwa.Hivi hawa watu kwa nini wasipumzike? This time tunataka raisi ambaye ni competent siyo nani anayetaka uraisi. Njia ya nani anataka uraisi imetumika kwa JK... see where we are today. Kama ni kiongozi nchi wananchi ndio waseme tunamtaka fulani sio huu utaratibu wa kihuni unaotumika sasa wa watu kujipendekeza wenyewe. Nawazungumzia kina SS,EL, Membe, Mwandosya na wengine.Nimepata habari from a very reliable source kuwa sita na mwandosya wamekubaliana sitta agombee urais akae miaka mitano amwachie mwandosya ambaye atakuwa waziri mkuu. nimedokezwa kuwa JK alipoanzisha dhana ya kujivua gamba alikuwa anataka kuwadhoofisha akina lowassa ili apate nafasi ya kumweka mtu wake. na ili kufanikisha ikabidi awatumia kina sitta kuwabomoa. ila sasa kina sitta wakawa wajanja kwa kumtumia nape wakaitumia hiyo dhana kujijenga. mkutano wa ccm mbeya jana ni mwanzo wa ushirika wa kundi la sit
jk is very unpredictable!Kwanza tuelezeni JK anataka kumuweka nani?