Kuna link nyingi za BBC zinafunguka kutokana na sehemu ulipo......link nyingi zinafunguka ukiwa America na Ulaya...Azimio jipya,
Mkuu mbona mimi inafunguka?... ebu scroll chini utaona kuna mahala inasema see also.... fungua hizo..
Mpaka kieleweke,
Lakini waliotoa ni Waingereza! Je huwaamini BBC tena..
Jmushi, kusema kuwa wale wasioamini kuwa kulikuwa na conspiracy basi ni MAFISADI ,yawezekana unaandika ndipo unaanza kufikiri kwani hizo conclusion zako zinakuwa papo kwa hapo bila hata kushirikisha ubongo, sorry to say this but kila mara unakuwa unajichanganya changanya sana kama vile ubongo unashirikishwa baada ya maamuzi,.