Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Navy Kenzo hawana budi kumshukuru sana tena zaidi ya sana Diamond Platnumz kwa kuwapandisha kwa kiasi kikubwa kimuziki.
Tangu watoe wimbo wa KATIKA waliomshirikisha Diamond, Navy Kenzo wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa vitu vifiatavyo.
1)Idadi ya mashabiki na followers haswa Instagram tofauti na hapo awali.
2)Hadhi yao ya kimuziki imepanda maradufu.
3)Wameweza kujulikana zaidi kimataifa.
4)Kufikisha Viewers wengi ndani ya muda mfupi,(Wamepata Views 2M ndani ya wiki moja ) jambo ambalo halikuwahi kufanyika kabla.