Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ni watanzania. Acha bange! Kuna mmalawi wa kufanya mziki wa level hizo??Ao ni wa malawi mkuuu???
Ni watanzania. Acha bange! Kuna mmalawi wa kufanya mziki wa level hizo??
kweli aiseeHao watu wanabambaga wewe, hapana chezea Haika na Nahreel nawaelewa sana nashangaa mnavyowachukulia poa.
Verse ya Aika maneno ya DiamondIle verse ya Aika naona kiswahili kimetumika ipasavyo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf kiboko aisee nimecheka sanaNi watanzania. Acha bange! Kuna mmalawi wa kufanya mziki wa level hizo??
Mmasai wa Kisongo arushanavy kenzo ametokea nchi gani?
Ni kukatika tu nadhaniMakubwa yaliyoibuka ni yapi mh mtoa mada?
Ww Hance acha ushabiki maandazi Navykenzo ndo wakuibuliwa na Dimond??? Hebu usituchefue wote wakali wote wana uwezo. Nina wasiwasi na ww utakua umeanza kuujua mziki baada ya wcb kuundwa
Mi nausikitikia ule wimbo wa straika wa Coastal yani umeshapotea ndani ya masaa 12 tu!! sijui mchizi ndo kwa heri hivyo?Navy Kenzo hawana budi kumshukuru sana tena zaidi ya sana Diamond Platnumz kwa kuwapandisha kwa kiasi kikubwa kimuziki.
Tangu watoe wimbo wa KATIKA waliomshirikisha Diamond, Navy Kenzo wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa vitu vifiatavyo.
1)Idadi ya mashabiki na followers haswa Instagram tofauti na hapo awali.
2)Hadhi yao ya kimuziki imepanda maradufu.
3)Wameweza kujulikana zaidi kimataifa.
4)Kufikisha Viewers wengi ndani ya muda mfupi,(Wamepata Views 2M ndani ya wiki moja ) jambo ambalo halikuwahi kufanyika kabla.
View attachment 887784