Makubwa yaliyompata jamaa yangu

na kaam huo mtego aliuweka bac mtoa thread aje atuambie na no ya cmu ilibadilishwa, vinginevyo hii kitu ni ngumu.
mkuu,huyu jamaa nilipoongea nae alinijulisha kuwa huwa yeye anatumia laini ya voda, akanua laini mpya ya tigo siku chache kabla ya tukio. hiyo laini akawa anaiweka ofisini kwake,mkewe haijui na hakutaka aijue
 
Tall tuombe radhi wana jf najua ulitereza tu, ukubwa dawa
 
Leo ijumaa jamaa kachanganyikiwa huyu msameheni............................
 

Hii story ina walakini. Ina maana humo kwenye facebook wote waliweka picha za bandia? By the way, kama kweli ni mkewe, basi hapo hakuna ndoa, maana inaonyesha wife alikuwa anatafuta mtu mwingine nje ya ndoa na jamaa naye alikuwa anaendelea. Kwa hiyo hapo waombane msamaha waendelee.
 
kWELI TAMAA ILIUA FISI NDOA BADO CHANGA LAKINI HAWARIDHIKI ...
 
mkuu,huyu jamaa nilipoongea nae alinijulisha kuwa huwa yeye anatumia laini ya voda, akanua laini mpya ya tigo siku chache kabla ya tukio. hiyo laini akawa anaiweka ofisini kwake,mkewe haijui na hakutaka aijue

Naye mkewe pia alikuwa na a secret line ambayo hakutaka mumuwew aiujue eh????? mbona ndoa ndoana kabisa...still the story does not add up!!!

N
 
Tall tuombe radhi wana jf najua ulitereza tu, ukubwa dawa
mkuu wangu funza dume umeongea vizuri,nipe evidence wapi nilipoteleza,vinginevyo IT STANDS STILL.LABDA TATIZO INFORMATION ILIKUWA INCOMPLETE.........au aaaah,naanza KUELEWA kwa hiyo inamaa na inawezekana story nyingi za humu WANA jf wanatunga tunga tu?? nieleze mkuu maana wewe ni mwenyeji hapa JF kuliko mimi.
 
Naye mkewe pia alikuwa na a secret line ambayo hakutaka mumuwew aiujue eh????? mbona ndoa ndoana kabisa...still the story does not add up!!!

N
mkuu shishi,unaefanana na tomaso wa kwenye biblia(asieamini hadi aone)nimesema mkewe alitumia simu ya shoga yake baada ya kumshitukia mumewe kwenye mawasiliano ya internet....naona sasa akili yako mkuu inaanza kurudi je una la zaidi????? ha ha ha ha.
 
Namba zao za simu je? Ina maana kila mmoja alikuwa anatumia line ya siri ambayo haiujulikani kwa mwenzake? Yaweza kuwa kweli ila logic hamna hapa. Stori za kutunga tuziacheni zitatupotezea mda, watu hapa wa rear stories za kusisimua sana lakini bado hawajaona haja ya kuzianika, wewe unatuletea za kutunga? No thank you!
 
mie mwenyewe mgeni sema tu naongea sana

nimetokea mtandao mwingine ulikuwa maarufu baadae ukaanguka kama kipindi cha SEREBUKA

ila mkuu uongo si kazi hiyo story umetunga
 
tall hapo umenifuraisha mpk nimekiliki thanks, babu yangu aliniambia mtu akikutusi mwombee mema kwa MUUMBA na ndicho ulichokifanya hapo
INAELEKEA BABU YAKO ALIKUWA NA BUSARA NA AKILI SANA,SASA WEWE MKUU UNAJIONAJE UMERITHI JAPO KIDOGO AKILI ZAKE? Kama bado yu hai kuwa nae beneti utavuna mengi toka kwake,sina shaka umeiga akili za babu yako na ndio maana ukatoa THANKS kwa mtu ambe dakika chache tu alikuudhi.
 
mie mwenyewe mgeni sema tu naongea sana

nimetokea mtandao mwingine ulikuwa maarufu baadae ukaanguka kama kipindi cha serebuka

ila mkuu uongo si kazi hiyo story umetunga
basi mkuu tujitahidi tuchangie changie na huu mtandao wetu usife tulishauzoea,...... Na hasa mimi sijui kwa nini hadi leo sija contribute chochote.
 

Kaka Tall asante sana kwa thread yako nzuri ingawa wadau wamekuandama lakini nadhani ulikuwa na nia njema tu kuwa watu tujifunze kutokana na mkasa huo.(bila kujali kama ulitokea kweli au la)
wewe umesimuliwa na hukusita kutumwagia hapa. kazi nzuri sana Tall. usikate tamaa.
 
SAWA MKUU NIMESHAJIBU KUWA JAMAA ALITUMIA NAMBA NYINGINE ISIYOJULIKANA KWA MKEWE NA MKEWE BAADA YA MAWASILIANO KWENYE MTANDAO KUMSITUA AKAONA ATUMIE NAMBA YA SHOGA YAKE ILIPOTOKEA SWALA LA KUPEANA NAMBA ZA SIMU ILI WAKUTANE
TOA HOJA kwa nini huamini?halafu mkuu unanihudhunisha sana mimi jamaa yangu leo anamawazo kibao na anasema hajui kama vitabu leo kule kazini kwake benki vita balance.....nilichomwambia ni kuwa visipo balance hiyo tofauti aiweke kwenye suspense account hadi jumatatu.
 

melezo yako yamepwaya sana...hata nikikuuliza, kwnini ishu iwe kwa mume tu wakakti na mke nae kacheza rafu?
 
ASANTE SANA MWANZA....KUNIPA MOYO WAKATI HUU WA MAJONZI NA HUZUNI,HAWA AKINA TOMASO( Yule wa kwenye biblia ambae hakuamini yesu kafufuka hadi alipoona makovu ya yesu ndio akaamini) WAPO WENGI MIMI NINAO HAWA HADI WAAMINI..........NA NILISHAWASAMEHE WOTE.
 

hakuna anaemwandama bwana, kama thread imepwaya watu wasihoji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…