Makubwa yaliyompata jamaa yangu

1. WEWE NI MCHAMBUZI WA MAMBO MAHIRI.
2.BAHATI MBAYA SIKIONI KIBOX CHA THANKS NINGEKUGONGEA.....ANGALAU WAWEZA KUONA REALITY.
3.ANGALAU WEWE HATA FACEBOOK UNAIJUA KUWA SI LAZIMA UWEKE PICHA YAKO.
4.Mhhhhhh HILO LA KUZIDI KUWA TALL ZAIDI SITII NENO
 
ipange vizuri mkuu mrefu! Inaonekana ni kweli, ila maelezo yako hayatoshelezi..
sawa mkuu nimegundua kuna incomplete information ndio iliozua maswali mengi na kutoamini.sasa mtu ukianza kusoma thread yote toka mwanzo hadi hapa.unaelewa kila kitu kilichompata jamaa yangu...naona weekend ya leo kwake ni mbaya sana.
 
Hao wote si waaminifu katika ndoa yao,therefore wakae pamoja wasaidiane......................................
Japo sometimes ni ngumu kuamini senario yako kaka.

"Nothing will separate us from the Love of God"
 
Pwenti Mkuu... Atunge story nyingine yenye ukweli kidogo
 
Basi wote wawili ni Malaya
 
pwenti mkuu... Atunge story nyingine yenye ukweli kidogo
karibu baba askofu,je na wewe ni wale akina tomaso?1.picha zao wote hazikuweza kuwepo kwenye face book.
2.simu walitumia namba ambazo mwenzake haijui.
3. Kwa vile mke alishaanza kumsitukia mmewe,mke akatumia simu ya shoga yake na kuna uwezekano alibana sauti
au labda alimpa shoga yake aongee kwa niaba yake........hili nalo linamsumbua kichwa jamaa yangu.
Jamaa anasema mkewe alimuamini mia kwa mia sasa anahisi ni sifuri kwa mia......hana raha.
Una la zaidi baba askofu????..........ubarikiwe.
 
ha ha ha ha, ubarikiwe mkuu, pale kwenye facebook wote hawakuweka picha zao aliesema waliweka picha face book nani? haikuwa rahisi kujuana.

Je sauti kwenye simu? hata nguo aliyosema atavaa hakugundua hapo?

Kweli TALL una degree ya uongo nilifikiri kwa vile umetoka na ID hii ungeacha uongo na kuja na mi thread ya kitoto toto kumbe bado tu.

sawa mkuu nimegundua kuna incomplete information ndio iliozua maswali mengi na kutoamini.sasa mtu ukianza kusoma thread yote toka mwanzo hadi hapa.unaelewa kila kitu kilichompata jamaa yangu...naona weekend ya leo kwake ni mbaya sana.

Wk end yako ndio mbaya hata zaidi. Kama ulikuwa una lengo la kuelemisha ungeiweka kivingine
 
Ndio mpendwa...

Turudi kwa mwanamke... anaweza ku-justify vipi kwamba alikuwa anamtega mumewe??

Je, ingetokea kwamba mume naye amemtuma rafiki yake akakague mzigo kwanza ingekuwaje??
 
Sounds like a box full of frogs!
 
Teh teh teh jamaa kamwaga upupu!
Sasa kakague nilivyokutendea haki kwenye hii yuzifuli posti. Au ikague kwa hapa chini lol! Great Sinkers at work!!!

The Following User Says Thank You to Masanilo For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
 
Tall aka......The universe is laughing behind your back!
 
Tall aka......The universe is laughing behind your back!
Yaani unawasiliana kwa simu na mkeo usiijue sauti yake? Hilo tu kwa kuanzia kwanza. Mi hata ma-Elizaz nayodumisha nayo mila huwa sisahau sauti zao kwa foni!!!! Hii naona ingehamishiwa kwenye lile jukwaa la majokes na ma gossips!
 
Hadithi hii kama za kina ShY na Pdidy, Mama Mia, Sweetbaby, Mwana wa Mungu na Mwanahalisi.....JF kuna mavuvuzela mengi!

The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

Masanilo (Today)​
 
Nasikitika umemsahau rafiki yako mheshimiwa Malaria Sugu au bado yuko kwenye ile list yako?
 
Nasikitika umemsahau rafiki yako mheshimiwa Malaria Sugu au bado yuko kwenye ile list yako?

Ile list wako wapiganaji 25 hao akina MS wala huwa sioni mitundiko yao! Tall akiweka nyingine kama hii nitaedit na kuwa nao 26
 
Ile list wako wapiganaji 25 hao akina MS wala huwa sioni mitundiko yao! Tall akiweka nyingine kama hii nitaedit na kuwa nao 26
Hahahahaha! Tall chunga sana, uko kwenye probation period!!!!!!
 
1.sauti inawezekana aliibana au shoga yake alimsaidia.2.ngou za bluu kila mtu anavaa ukisikia ya bluu tu basi ni mkeo????
 
Ndio mpendwa...

Turudi kwa mwanamke... anaweza ku-justify vipi kwamba alikuwa anamtega mumewe??

Je, ingetokea kwamba mume naye amemtuma rafiki yake akakague mzigo kwanza ingekuwaje??
ndio maana jamaa kawa mnyonge,maana bibie alimweleza kuwa nimechukua simu ya shoga yangu ili unaemjua ili ujue nilikugundua,upo hapo kiongozi wa dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…