DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 84
- 118
Uzinduzi huo uliongozwa na Chief (Mtwa) Adam II Mkwawa toka himaya ya Iringa akiambatana na dada yake King’s Sister Fatma Mkwawa.
Pamoja nao alikuwepo Omukama wa Himaya ya Busubi (Biharamulo) ambaye pia ni baba yangu mdogo, Omukama Justin Kasusura pamoja na King Sister wa himaya ya Kyamutwara Mukeamanzi.