MAKUMIRA UNIVERSITY punguzeni KUJUANA!!!!

Joined
Oct 12, 2011
Posts
50
Reaction score
11
Wadau naandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa ya taaluma za kitanzania zinavypotea chuo kikuu makumira kitivo cha sheria kimechakachuliwa na VC Prof Parsalaw kwa kutoa ajila za upendeleo hususani kwa wamasai wenzake akiwepo Dean of Faculty of Law Laltaika ambaye hana sifa za kuwa Dean pia kwa mtoto wake VC Ben Parsalaw amemaliza first degree 2011 saivi ni lecturer tena anafundisha mpaka mwaka wa 3 ukiuliza kwakuwa baba ni ni VC.. TCU mko wapi?
 

Senior Citizen, Hawa watu naona ni tabia yao. Hata hapa Tumaini Iringa ni yaleyale. Akina Mdegela na Rubawa wajeza ndugu zao tu hapa. Matokeo yake kazi azifanyiki kwa ufasaha na badala yake ni ubabaishaji tu. Vyuo hivi vitakuafa, vyenyewe.
 
Mkuu wa kanisa la kkkt - askofu a.g malalsusa na tcu mnasikia hayo?
 
sio hapo makumira tuu, karibia kila mahali..hapa ninapofanyia kazi...kuanzia gate man, mkata majani , driver to all the 4 directors except one ni kabila moja..basi ni kijaluo tuu...wakija mafundi kurekebisha kitu ..ni wajaluo tu..kazi ipo...itakua umeaply ukakosa kazi ndio maana unalia lia..pole sana..
 
MKUU, kama hao waliopewa nafas wanasifa stahk hakuna tatzo. Hujachambua vyema kutuonyesha sifa za dean ni zipi ukzlnganisha na za huyo laltaika. Pia za lecturer ni zipi na huyo mtoto wake anazpi. Hapo utaweza kutupa htimisho zuri na maoni yako ili nasi tuchangie. Pia, Sisi huyo laltaika hatumfaham. Na huyo ben pia hatumfaham, huoni tukichangia tutapwaya? TUSAIDIE HLO KWANZA MKUU
 
Jamani naomba nirekebishe hapo mwanaye anasoma masters ya law sio lecturer.
 
Acha kukurupuka wewe, una uhakika gani kama ameajiriwa au ameamua kutumia taaluma yake kuwafundisha wenzake kwa kujitolea. Dogo piga kazi, kwani Sainkuye ni Masai? Palangyo ni masai? Baraka ni masai?
Ningekuwa mimi ndo Parsalaw ukute mtu ana Vigezo na tumekula wote kisusio sioni shida kurecruit kutoka mbali.
Sijaikataa moja kwa moja hoja yako ila umekurupuka, kuwa na uhakika kwanza ndo ulete hoja manake nimepata taarifa dogo anafanya masters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…