Mwandishi ni CCM mbobevu, aliijua CCM kabla hata mama yako hajapigwa MITI ukazaliwa wewe..ni ajabu unaijua ccm kuliko wana ccm wenyewe
Umeongea vitu vya kubumba eti CIA wanamtaka Sugu, eti Ummy Mwalimu ni mpinzani wa ndani.
Huyu Ummy mtoto mzuri apinge nini huyu?
Umejuaje kama huyu sio mccm mwenyewe?ni ajabu unaijua ccm kuliko wana ccm wenyewe
Huwa nachukizwa sana kila wakati kutajwa Wazanzibari ambao kimsingi hawawashi hawazimi ila watajwe tu kwasababu mkuu wa nchi anatoka Zanzibar. Karume na Nyerere walitukosea sana na Mungu atawalipa.Team Samia: Hii imejaa wapambe wa Mama ambayo ni wanzanzibari ndani ya serikali, IGP Wambura , Makonda na Mapolisi wengine wanao endeleza utekaji.
Ila uko vizuri kuonekana nawe uwemo tu. Hongera.Sukuma gang kundi la wazalendo wahafidhina wafia tz wakiongozwa na Mpango. Majaliwa,Warioba na Biteko. Mda wote wanalia kimoyomoyo.jinsi Tanganyika inavyobagazwa na kundi
Chawa kaziniPepo wachafu wanakusumbua.
Tabiri zenu za ******* mlianza tangu July 2025.
Mungu sio manabii wenu fake, tukavuka.
Kila siku mnaleta stori zenu za kipuuzi zisizo na maana.
Mwaka jana 2025 zaidi ya manabii washenzi wazinifu kumi walitabiri mpusuko ndani ya CCM kabla ya uchaguzi mkuu lakini hapakuwa na mpasuko
Manabii wengine ambao ni wazinzi wa kuoindukia wakaona kifo cha Samia kabla ya uchaguzi mkuu lakini Samia yupo hai .
as long tupo na tunaona kinachoendelea means alichoandika ni upuuziUmejuaje kama huyu sio mccm mwenyewe?
Kuja uwezekano wakamtengeneza gwajiboy aokoe jahaziCCM 2030 hakitoboi, kuna mpasuko utaibuka sio poa.
1.Rais atakuwa anaondoka, so hakuna nguvu ya kulazimisha kama sasa
2.Kuna vuguvugu ndani sema watu waoga -
3.Urais umekuwa mtamu sana sio tena huduma ni ufalme na kutoka kimaisha..thus hakuna kundi litakubali kupoteza nafasi hiyo adhimu ili waendelee kubagaza hii nchi
4.Hakueleweki ndani kule, hawana presidential figure na mtu mwenye mvuto kwa watu, wanacheza na bahati tu.
5.Hakuna mtu ambaye anakubalika au hata kuwa na mwonekano wa Urais - commanding figure....[Ni kama Waziri mkuu wa sasa]
6.Wajifunze kilichotokea 2015, Kikwete alibaki anatoa macho, Magu akaja Waokoa from nowhere tu....[Mtu wa kuwaokoa 2030] hayupo..
Tulia wewe mamlukini ajabu unaijua ccm kuliko wana ccm wenyewe
unataka kusemaje mwaipayaTulia wewe mamluki