Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Nigeria, Misri na Cape Verde ni wanyera tuDroo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na Gambia ambazo hatokutana nazo.
Wapinzani wa Tanzania katika hatua ya makundi watatoka katika Pot 1, 2 na 3 (kila pot timu moja) na pot hizo ni [emoji3596]
• POT 1 Ivory Coast, Morocco, Senegal, Tunisia, Algeria, Misri
• POT 2 Nigeria, Cameroon, Mali, Burkina Faso, Ghana, DR Congo.
• POT 3 Afrika Kusini, Cape Verde, Guinea, Zambia, Equatorial Guinea, Mauritania.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Sasa itakuaje??Kwani ulitegemea nini kwenye kuleta uwiano kwamba timu zote kali zisikutane wakati mmoja ? Kwahio ilikuwa obvious vibonde wapangwe pot moja kuepuka hio kadhia ni kupanda kiwango cha Soka
Justfy uhalitete unaomaanisha hapoDroo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na Gambia ambazo hatokutana nazo.
Wapinzani wa Tanzania katika hatua ya makundi watatoka katika Pot 1, 2 na 3 (kila pot timu moja) na pot hizo ni [emoji3596]
• POT 1 Ivory Coast, Morocco, Senegal, Tunisia, Algeria, Misri
• POT 2 Nigeria, Cameroon, Mali, Burkina Faso, Ghana, DR Congo.
• POT 3 Afrika Kusini, Cape Verde, Guinea, Zambia, Equatorial Guinea, Mauritania.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Kiingereza hujanisomesha!!!Justfy uhalitete unaomaanisha hapo
Tunisia, DRC/Ghana, Mauritania, Tanzania tunaweza kupata point kwa yeyote hapoDroo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na Gambia ambazo hatokutana nazo.
Wapinzani wa Tanzania katika hatua ya makundi watatoka katika Pot 1, 2 na 3 (kila pot timu moja) na pot hizo ni [emoji3596]
• POT 1 Ivory Coast, Morocco, Senegal, Tunisia, Algeria, Misri
• POT 2 Nigeria, Cameroon, Mali, Burkina Faso, Ghana, DR Congo.
• POT 3 Afrika Kusini, Cape Verde, Guinea, Zambia, Equatorial Guinea, Mauritania.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Hii itakua miujizaTunisia, DRC/Ghana, Mauritania, Tanzania tunaweza kupata point kwa yeyote hapo
Kwenye football miujiza ni vitu vya kila siku.Hii itakua miujiza
Ngoja tuombeKwenye football miujiza ni vitu vya kila siku.
Saudi Arabia kumfunga Argentina, Morocco kumtoa Portugal, Japan kuongoza kundi mbele ya Spain na Germany
CAR kumfunga Nigeria uwanja wake wa nyumbani, Tz kusare na Algeria, Commoros kuwa dark horse Afcon 2020.
Punguza hasira, jenga hoja vzrKiingereza hujanisomesha!!!
Uzuri huu uzi utakuepo tumwombe Mungu!!Mbona hakuna utete wala ugumu wowote hapo.