Makundi kufuzu Kombe la Dunia yakoje?

TUPAMBANE

Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
62
Reaction score
88
Habari,

Nauliza group iliyopo timu yetu ya Tanzania mshindi atakayeongoza ndiye anaenda kombe la Dunia moja kwa moja? Au kuna mchakato mwingine baada ya hapo? (DR Congo, Madagascar Benin na Tanzania)

Kama ndiyo yalivyo hivyo naona kama kuna kabahati hivi kwenye group letu au jinsi group lilivyopangwa ndivyo litakavyokuwa baada ya match zote kuisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…