Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo.
1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa meseji, voice calls na hata ukiukwaji wa taratibu za ajira kumpendelea mtoa uchi ili apate ajira.
2. Makahaba wanaotembea na waume au wake za watu. Hapa mfano mahakamani anaweza kupata mke kuthibitisha kwamba kweli aliyekamatwa ni kahaba na amemgeuza mume wake kuwa danga lake ambalo anaishi kupitia mapato yake na mali zake.
3. Maofisini ambapo boss anaonyesha upendeleo wa wazi kwa mtu fulani wa jinsia tofauti ambaye ni kilaza wa kutupwa lakini anayafaidi mema yote ya ofisi, hapa mkuu wa wilaya akiweka mitego anaweza kubaini mchezo mchafu.
4. Kwenye vyuo vikuu, huku malalamiko yamekuwa ya muda mrefu sana na hadi kuna ripoti nyingi tu.