Makundi ya wafanyabiashara wa kuhurumiwa zaidi katika kipindi hiki

Makundi ya wafanyabiashara wa kuhurumiwa zaidi katika kipindi hiki

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mnaofanya biashara za mabucha, samaki wabichi, vinyozi, maziwa, juice fresh, usagishaji wa nafaka na uchomeleaji mnawezaje katika mazingira haya?

Marejesho yenu ya mikopo katika mabenki, SACCOS na VICOBA yanawazekanikaje?

Vipi kuhusu kodi za mapango ya nyumba mnakofanyia biashara zenu?
 
Nafanya biashara moja wapo hapo juu, I can't explain kwakweli. TUNAJUTA.
 
Back
Top Bottom