Makundi ya Waislamu Waafrika wavamia na kuzuia sherehe za kusheherekea tamaduni za Kiafrika

Bila shaka unaishi Vatican ..maana unavowachukia waislam cjui kama hata hapo mtaani utakua unaishi nao hivo hivo kwa chuki au lah.Pole xnaa kijana
Matthew 10:34-36 Yesu anasema
"Sikuketa amani,nimeleta upanga"
 
Wanaotengeneza propaganda dhidi ya UiSLAM wameapa kufanya hivyo milele mkuu. Na wanaweka bajeti ya mabilioni ya USD kila mwaka
Kama ni hivyo Uislamu ni dini dhaifu sana. Kama mtu asiye imani yao anaweza kuingia msikitini na akashawishi mashekh kuuana na wao wakauana kweli.
 
Sio kweli,hao watakuwa wamechokozwa,Waislamu hawatakaki ujinga.Wanamsikiza Yesu alivyosema Matthew 10:34-36
"Sikuleta amani,nimeleta upanga".
Biblia ipo kimafumbo sana. Ukisoma kama ilivyoandikwa nawe ukafuata hivyo hivyo utakuja kuumbuka.
Luka 10:19
"Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru"
Waambie watafute nyoka na nge wamkanyage, wamepewa mamlaka.
 
Wanafuata maneno ya Yesu,ili wapate uzima wa milele,Yesu kasema Matthew 10:34-36
"Sikuleta amani,nimeleta upanga".

Wamefuata maneno ya huyu mzee aliyekua anapiga wavulana denda.. MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Sio kweli,hao watakuwa wamechokozwa,Waislamu hawatakaki ujinga.Wanamsikiza Yesu alivyosema Matthew 10:34-36
"Sikuleta amani,nimeleta upanga".

Umesahau samehe 7x70,hakuleta amani dhidi ya dhambi na uovu,acha kuokoteza vifungu bila kuelewa hicho kifungu kimeanzia wapi.
 
Halafu wakiitwa nyani na kutupiwa ndizi wanalalamika eti wanabaguliwa!
 
Sio kweli,hao watakuwa wamechokozwa,Waislamu hawatakaki ujinga.Wanamsikiza Yesu alivyosema Matthew 10:34-36
"Sikuleta amani,nimeleta upanga".
Hapa aliye wachokoza nani??
[emoji116][emoji116]
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Hata Mungu wenu alimsema muham mad kwamba watu wake kazi ya ni mikelele, ubishi, na ugomvi
[emoji116][emoji116]
۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ

[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.

[وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ

[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!

Ona hilo fungu la Biblia Takatifu ulivyo potosha Maudhui!
Tuwekee fungu Yesu Alipo Fuñdisha wafuasi wake wachinje na kuharibu!
Yesu Amefundisha Wafuasi Wake UPENDO!
[emoji116][emoji116]
Matthew 5:44-46
[44] lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

[45] ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

[46]Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?

Matthew 7:1-5
[1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

[2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

[3]Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

[4]Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

[5Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako. Kutweza Kitakatifu

Upanga sio jambia kama Ulivyo tafsiri ww Ilaha ni NENO LA MUNGU!
[emoji116][emoji116]
Ephesians 6:17
[17]Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
 
Nshamjibu kua kibwetele wayuganda sio muislam au makenzi wa kenya sio mwislam au kuna jibu tofauti na hilo
Toka lini kibwetere ni kigezo chenu??
Kigezo chenu chema ni muham mad!
Sasa mgeze hulka yake kama hukuishia segrea!
Hata mungu wenu anamkemea kwa uongo!
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَا أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ ۖ تَبْتَغِي مَرْضَاتَ أَزْوَاجِكَ ۚ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

[ ATTAH'RIIM - 1 ]
Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Au kisilamu silamu alikuwa anampongeza??
Anawaelekeza hata kuingilia/kuingiliwa na maiti, mnyama, kuntha, mtoto, vutu...[emoji56][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…