Sabra said
Member
- Jun 28, 2014
- 49
- 9
Habar wana jf naomba tumshauri huyu kijana.Ana umri wa miaka 20 ana tatzo la uso kama mzee hali hii inajitokeza akitembea juan au wakat wowote uso ujikunja ,akiinamisha uso chn misuri ya uso ujivuta kwa chini na kufanya uzito fulan unaoning'inia na kutengeneza uso wa kizee tatzo hl limemuanza toka akiwa na umri wa miaka 13 had sasa.Anahsi tatzo lipo kwenye misuri ya uso labda imelegea ndo inayosabibsha makunyazi uson ana kosa raha kwa tatzo lake wenye kujua chanzo cha tatizo na tiba ya hayo makunyaz au hyo misur kujkunja wamsaidie ametumia dawa nyng za ant-wrinkles na scrub nyng bla mafanikio.ASANTENI