TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo nchi gani kwanza au dunia ipi? ni kweli kazi ya bunge huijui au unataka waletea lawama hawa jamaa au wachonganisha na wananchi? Bunge ndilo lenye kusimamia matumizi ya fedha hizi na hawa watoza kodi wao wamepewa jukumu la kukusanya hawana nguvu hiyo kisheria . Ulikimbia umande nini ?Samahani lakini, hivi mamlaka ina uwezo wa kuchukua hatua pale makusanyo yanapo tumika vibaya?