Mambo ya kaisari lini hizi kodi zetu tutazitumia hata kufanya sherehe watanzania wote tule kuku tunywe tusherekee kila siku zinaenda kushoto nyie kina yuda mtuhurumie.
Mkuu upo nchi gani kwanza au dunia ipi? ni kweli kazi ya bunge huijui au unataka waletea lawama hawa jamaa au wachonganisha na wananchi? Bunge ndilo lenye kusimamia matumizi ya fedha hizi na hawa watoza kodi wao wamepewa jukumu la kukusanya hawana nguvu hiyo kisheria . Ulikimbia umande nini ?