Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa mingi na watu wengi ina uchumi mdogo sana ikizidiwa na kanda ya kaskazini mara 3.

Kichwa Cha habari kinasema uwingi si hoja. Kwenye notes unakazia umuhimu wa kuwa na watu wengi katika suala Zima la uchumi mkubwa. [emoji114][emoji114]
 
Sawa

Kaskazini Mapato yameongezeka wakati Dr Kugwangala alivyoanza kuleta Watalii kutoka nchi Takatifu ya Israel

Ni baada ya Shujaa Magufuli kufungua Ubalozi Taifa Takatifu

Merry Christmas 😀
Ficha ujinga wako.Kukaa kimya ni busara kwa watu wa aina yako.
 
Huwezi bishana na wachaga mkuu hata magu alijaribu akashindwa. Wakati wachaga wanasomesha watoto babu zenu nyie walikua wanacheza ngoma.
 
Unafahamu SGR kwenda Mwanza ni sababu ya ukaribu wake na Rwanda, Burundi, Uganda na hatimae DRC? Hivyo ni kama imechepushiwa tu,..
 
jengeni jengo la abiria la kimataifa uwanja ndege Mwanza muone km mtapata mtalii hata mmoja wa kwenda serengeti na pato litandondoka. Kanda ya kaskazini inabebwa sana.
 
Migodi ya dhahabu ya kanda ya ziwa walipewa wazungu kama bure !!
Tulikubali tupewe asilimia 3 tu !
3% .
Mambo ya Canada 🇨🇦 hayo !!
 
Ukanda peleka nyumbani kwako

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Ubinafsi. Wakati wa Nyerere almasi ilichimbwa Shinyanga lakini ukataji ulifanyika Iringa. Huo ndo utaifa.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…