Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

"Akili za kaskazini" Hizo billions, zilizokusanywa, utakuta ni, ma kampuni matano tu, hazi reflect uchumi wa, mtu mmoja mmoja, ingekuwa raia,wa huko wapo vzr, kuanzia moshono, mpaka unga limited, au, kule uswazi, matejooo, tungekuwa hatuoni walevi mbwa,hoe hae vijijini!
 

..Mtanzania anaweza kuishi popote, akajipatia kipato, na kuchangia ktk uchumi wa taifa letu.

..hizi habari za kubishana na kupondana kwa misingi ya ukanda ni kufilisika kimawazo. Tanzania ni nchi moja na kila raia ana haki ya kuishi popote pale.
 
What if wana mbinu za kisasa zaidi za kukwepa kodi na hivyo kupelekea makusanyo kuwa chini
 
Hahahahaahah 😃 ulitaka ofisi za Tanapa ziwe mwanza?? Wamasai (culture yao) pia ni kivutia cha utalii fanyeni ubunifu msilie lie wakati mnajenga airport chato sijui uwanja wa mpira na hospital ya rufa maporini mlikuwa mnataka kutibu nyani?
 
Still however vijijini vya Arusha na shinyanga/simiyu havifanani wala pato la mtu mmoja mmoja pia sio sawa
 
Utakufa na ubaguzi wako WA kipimbi
 
Sikia Tufanye hivi tu umeshinda. Mbona simple..
We hapo mfukoni una nini.

Unajivunia makusanyo ambayo kesho yanaenda kuliwa na mchwa..huyu jamaa vp.

Jana/leo madam Rais kaenda Ethiopia na utitiri wa chawa kuzindua sanamu ya mfu.hela zenu wajinga hizo
 
nani kakwambia billioni za hela ni chochote kwenye uchaguzi?
 
Unamwaga povu badala uweke data tuthibitishe.

Vinginevyo umetunga ,kusema BoT bila evidence ni uzushi
 
Sawa

Kaskazini Mapato yameongezeka wakati Dr Kugwangala alivyoanza kuleta Watalii kutoka nchi Takatifu ya Israel

Ni baada ya Shujaa Magufuli kufungua Ubalozi Taifa Takatifu

Merry Christmas 😀
🚮🚮🚮
 
Labda hiyo reli ingekatisha kwenye Ziwa
 
Pumba
 
Kwa akili hizi tunasafari ndefu sana kama taifa
Sasa hayo makampuni nani ni wafanyakazi kwamba maroboti ndo yanafanya kazi kule kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…