chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi?
Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali iache kufanya chochote kile, isilipe Mishahara,isinunue dawa, magari yake yapaki bila kutembea, lakini kwa kusanyo la 1.2 trilioni, trilioni 20 itachukua si pungufu ya miaka 15 kulipia reli ya SGR.
Twende kwa mradi wa tembo mweupe, Stiglers .. hata ikimeza trilioni kumi, itatuchukua miaka nane kwa kutumia kusanyo la ndani, kulipia mradi huu, hapa tunaacha kufanya Kila kitu, hatujengi barabara,vituo vya afya Wala mashule.
Tukumbuke, vifaa vya ujenzi vitaendelea kupanda, hivyo bili ya ujenzi pia itapanda!
Mama kopa tumalize fasta .. tutajua jinsi ya kulipa