bongo raha
Member
- May 29, 2019
- 18
- 8
Uhuru is really great at conflict resolution...His advisers are very smart...I have grown to really admire his diplomacy skills...I was shocked when he pulled the “handshake” move...Who would have thought those two could co exist? Yet, here we are, peace and calm...Habar Wana jf
Binafsi mm mwenyewe Nina furaha sana kuona Kenya na tz wanachangia maada bila kupondana kwan ilikuwa mbaya sana kipindi cha nyuma watu kuombea mabaya ili waanze kupondana hii Aman imeletwa baada ya maraisi Hawa wawili kukutana chato kiukweli hii ndio Eac ya kuombea heri na mafanikio
Usipokunywa chang'aa unaongea maneno mazuri sanaHehehehe!! Wacha kuchukulia kibinafsi mambo ya humu, fahamu hii ni jukwaa ambayo kila mtu huwa ruksa kusema yake, na lazima uwe tayari kukubali kutokubaliana ilmradi humtusi mtu. Huwa naona hata kwenye majukwaa yenu Watanzania ya siasa mnavyopelekena huko utadhani mtu atanyofolewa macho. Ndio uhuru wa maoni na kama marais wetu hawawezi kuvumilia huu uhuru basi watakua kwenye uongozi kwa bahati mbaya.
Waache watu waseme, ichukulie tu kama kijiweni ambapo watu hukusanyika baada ya mishe za siku tangia alfajiri.