Makuwadi wanahangaika kuhalalisha mkataba mbaya wa DP World lakini kila mahali wanaangukia pua

Eti tulichagua viongozi! ...ule ulikuwa uchaguzi? asilimia 80% kupita bila kupingwa, nao ni uchaguzi?
 
Tulikwishausoma wote kabla haujafika hata bungeni.

Ulichokileta hapa siyo nakala ya mkataba bali ni tafsiri yako kwa Kiswahili.

Weka mkataba halisi ambao hawajawahi kuuona ili wausome. Mimi sihitaji kwa sababu niliuona hata kabla haujafika bungeni.
Uweke hapa ,kisha utuoneshe vipengele vyenye ukakasi.
siyo Porojo tuu
 
There is no way we can fail never ever, nchi hii inalindwa kwa nguvu za Mungu aliye hai!
 
Eti tulichagua viongozi! ...ule ulikuwa uchaguzi? asilimia 80% kupita bila kupingwa, nao ni uchaguzi?
Mimi si tume ya uchaguzi.
Anyewekwa pale juu namfuata tuu.
Jiwe ndiye aliyafanya yale ,na kukandamiza Demokrasia,
sasa wewe si uliona sawa?
Mama katuponya na Madonda ya Magufuli,
Leo tuna uhuru wa kukosoa hata Mikataba ,
Mikataba inapelekwa Bungeni kupata Ridhaa kwa mara ya Kwanza.
Mshukuruni mama.
 
Ikiwa huu mkataba ni mmoja kati ya ile 17 aliyosaini akiwa ugenini, 16 iliyosalia itakuwa inahusu nini. Mungu tu ndiye atakayeinusuru Tanganyika, maana ukiangalia wote wanaotajwa kuhusika ni Wazanzibar sas maana yake nin. Hapa kuna mengi wenye asili ya Tanganyika tusiyoyajuwa.., ipo siku moto utawaka nakuuzima itakuwa kazi ngumu saaana.
 
Inawezekana hawakujua matokeo ya kazi walizofanya. Hivi ofisi ya mwanasheria mkuu ilihusishwaje kwenye maandalizi na makubaliano ya mkataba?
Tokea leo nimeacha kabisa kujadili, kusoma, kuuliza wala kufikiria juu ya mkataba wa DP World. Kikubwa nilichokijua katika hili sakata ni kuwa hakuna ninachokijua.
 
Inawezekana hawakujua matokeo ya kazi walizofanya. Hivi ofisi ya mwanasheria mkuu ilihusishwaje kwenye maandalizi na makubaliano ya mkataba?
Kila mtetezi hagusi kujibu swali hili..!

Na pengine Dr Tulia Ackson Spika wa Bunge la JMT ndiye alisimama kama AG...

Lakini ziko za chinichini zinasema AG hakuhusishwa kabisa ktk hatua zote japo baadhi wanasema ofisi yake ilihusishwa..

Kama ofisi yake ilihusishwa, likely ni yule mwanasheria wa ATCL (kama sijakosea)aliyekuwa na Prof Makame Mbarawa walipokutana viongozi wa dini kuwashawishi waunge mkono...
 
Tokea leo nimeacha kabisa kujadili, kusoma, kuuliza wala kufikiria juu ya mkataba wa DP World. Kikubwa nilichokijua katika hili sakata ni kuwa hakuna ninachokijua.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Pengine mpaka tukifika ahera tutaelewa kilichojiri
 
Hoja namba 2,3na 4 umeua kabisa.Hoja namba mbili nimeisoma nimechekaje!
 
Mkataba ushasai iwa kitambo,tayari walishaanza baadhi ya kazi,upo Zanzibar Nini?
 
DP WORLD wako vizuri sana hakuna anayepinga na ukweli ni kwamba wanastahili kuendesha bandari yetu.
Je? Ndio tuwape milele?
Ndio tuwakabidhi bandari zote nchi nzima?
 
... mchambuzi Zitto hutamsikia kwa lolote kwenye hili suala. Kama hayupo vile! MAKUWADI!
Hili jambo lingetokea enzi za JPM ungemsikia Zitto,Shangazi wanatoa mipovu ila kwa kuwa ni wa dini zao kimya kama hawapo,hawa ndio chawas
 
Nitakujibu kesho.
 
Mimi nilijua mpaka sasa Mama Samia atakuwa kashaelewa kuwa watu hawako pamoja nae kwenye hili. Cha kushangaza bado anahangaika tu kulazimishia agenda yake hii, tena kwa kumwaga mapesa kila kona, mfano hiyo trip ya kina Hando, vipindi mbalimbali kwenye luninga vya kuhalalisha hii move, etc. Kazi tunayo Watanzania.
 
Mimi nimeboresha definetion ya corporation ya kwenye mtandao hii
Corporation:
A group of companies act as a single entity and recognized as such in law, in other words it is a business entity that legally exists separately from its owners, their percentage of ownership in the business is represented by their corporate stock or shares
lakini inamapungufu je niliyo iboresha niitupie hapa ama tusubiri ubunifu wa kibongo ujulikane?
 
Watalaaniwa
 
Ccm hovyo sana
 
Halafu JITU zima linalojitoa akili! Linashadadia mkataba wa milele! Hapo hakuna kuvunja mkataba!πŸ‘‡πŸ‘‡

Watanzania sijui nani alituroga!?

Hapo jirani tu kenya hawawezi kusaini mkataba wa hovyo! Kama huu!!!πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20230621-201611.png
    37.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230621-201742.png
    37.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230621-201509.png
    39.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…