TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

Aendee tuu aliku kada kindaki ndaki wa chama japo alikua hajionyeshi ni mpakanawe anahoji mtu wa upinzani ndo utajua
 
Hamza kasongo yupo wapi sasahv?
 
"Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten

Hayo alisema yeye au umemuwekea ? Sababu the latter sio necessarily the same as the former.....
Ndivyo alivyokuwa anatafsiri yeye
Makwaiya
 
RIP apumzike kwa Amani alikua anakera kuuliza swali na ana jibu lake mwenyewe halafu anajibu hapohapo!
 
"Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten

Hayo alisema yeye au umemuwekea ? Sababu the latter sio necessarily the same as the former.....
EEEeeeNHEeeeee!

Basi natuseme "Shall we Arrive", EeeeNHeeeEEh!
 
Kama kumbukumbu zangu ni Sawa, Makwaia Kuhenga alikuwa kwenye timu ya ulinzi wa Nyerere hadi Nyerere alipoachia madaraka 1985. Alishakuwa mtu mzima sana; mungu aipumzishe roho yake pema peponi.
 
Pumzika Mzee ulikua na kipindi bora kwenye Nchi Watawala hawapendi kusikia kauli kutoka kwenye hivyo vipindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…