Makwapa ya wanawake wa Dar kwenye daladala ni kero kwa wanaume marijali

Naunga mkono hoja, na ninaamini kila kiungo kwenye mwili WA mwanamke kina mvuto wake kwa wanaume, kumbuka mapenzi ni hisia na iko zaidi kwenye mind na macho.
 
Yuko sahihi kwapa lina mvuto wa mapenzi kama viungo vingine, na ndio maana mwili wa mwanamke unatakiwa ufunikwe mpaka machoni ili kupunguza vishawishi kwa wanaume.
 
Hoja yake ya msingi,hata ile harufu fulani ya kijasho cha mwanamke kina leta hisia. Sisi wa mikoani nadhani tunajua mengi sana kuhusu hawa wanawake kuliko hata wanaume wa dar.
 
Shida wala sio kwapa ni huko kuwaza sehemu nyingine ilivyonyolewa kama kwapa.
 
Ukame umekula hadi ukiona kwapa unazani umeona kitumbua cha mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisi mnatutesa na videvu vyenu vikiwa vimenyolewa,,tafuteni jinsi mvifunike
 
Hili mi tatizo lako mzee, mbo mm sioni shida. Ingekua unaona kwapa limejaa vinyweleo hapo sawa ila kama kanyoa haina ugonjwa hiyo arifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…