MalafyaleP unahitajika

niester

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
254
Reaction score
111
Habari wadau wangu wapambanaji wa dhati wa kutaka kuuondoa umasikini kwa njia ya kujiajari kupitia kipawa na experience za watu. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sna wa mambo ya uwekezaji kupitia ufugaji. Nimekuwa very interested na huyu jamaa ila sina contact zake , so naomba contacts za huyu mtu kama kuna mdau atazijua, naomba anitumie kupitia email yangu (nestoryedward@yahoo.com ) kwa sasa sipo nchini kwa mda sna ila nategemea kurudi mda si mrefu.
Nipo kwenye hatua za mwisho kujenga mabanda so nataka kabla cjaanza ufugaji nipate maelekezo mazuri ya mbegu pamoja na jinsi ya kuwafuga hawa wanyama.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…