Malagarasi Hydropower Project - Loan Approved

Umeme ni bidhaa saleable tumezungukwa na nchi zina uhaba wa umeme.Kitakacofuata ni kujenga mkonga wa umeme kuuza nch jirani

Uza ubongo huo dogo maana ni hasara kukaa nao, ujenge 50mg kisha uzungumzie kuuza nje! Hizo mg2115 utazapeleka wapi, au ni hayo hayo tunasema mradi wa SG unaweza usikamilike? Endeleeni tu kutengeneza majina fake ya ajira za waalimu. Naona mmeiba kura, na sasa mnatengeneza list fake ya walimu. Utapeli wa awamu hii utakaa wazi hivi karibuni.
 
Zanzibar ipo Tanzania, pengine hukumbuki JPM alipoingia madarakani alifuta madeni yote ya Zanzibar ya umeme nk,
Pamoja na kufuta madeni bei wanayouziwa ni COST PLUS?
 
Tumejennga stugler kwa hela yetu lakini tumeshindwa kujenga haka kamradi kadogo namna hii hadi tunashangilia mkopo. Dona katri tunakwama wapi?
 
Sasa mambo ya miradi ya wananchi ya miundombinu kwa ajili ya maendeleo mnataka kuyachafua kisiasa kwanini ...??

Acha siasa kwenye sekta muhimu kwa kuwakwamua wananchi hizi fedha zinakopwa na watakao lipa ni watanzania kupitia kodi zao .

siasa haina nafasi hapo tafuta propaganda zingine tunaipenda nchi yetu kuliko siasa zenu za majitaka
 
Swala la moundombinu si la kisiasa wala halihitaji propaganda za kijinga ivoo
Deni la mkopo litakuwa kwa ajili ya wananchi ndio watakao lipa kupitia kodi zao
Miradi hii kwa ajili ya manufaa ya watanzania , hii itadumu ata chama kikiondoka madarakani

Msifanye siasa kila kona mtaonekana majuha
 
Acha kuweweseka kama tuna uhakika wa kuzalisha Mw 2100, kwa nini ukope tena pesa kwa mradi wa Malagarasi?
Bado tunahitaji umeme zaidi kwa bei ya chini ili kuweza kuwa na viwanda vingi vya uzalishaji. Hata ukiwa na billioni Benki bado unaendelea kutafuta pesa kila siku.
 
Lumumba mnapewa msaada halafu mnachekelea hivyo?!

Kweli nyie mna matatizo ya akili, kuanzia leo muache kelele zenu za "donor kantri"

Leo ndio mmethibitisha uongo wenu.
Huo sio msaada ni mkopo. Shuleni ulikwenda kusomea ujinga? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…