Malaika kwenye kiwiliwili cha binadamu

Nice article brother , am inspired by these two stories , i mostly speak to ma self N say it takes nothing to be kind, N if u have the power to make other individual happy just do so, the world needs more of that #blessingz#
 
Lakini ni wachache wanajua kwanini tupo duniani.
 
Mimi Nina mambo 3 yaan:-
1. Story Kama hii, unaandika mwnyew kwa urefu huo au unaichomoa sehemu na kuibandika kutoka ilipoandikwa
2. Tanzania tunayo kituo/sehemu ya kutimiza ndoto za watu
3. Mara nyingi ata mtu aandike thread nzuri gani LIKES nakutaga 5 < kushuka chini afu mm ndo nawekaga ya 6 najiuliza WHY...

NB: Ilibaki punje nimwage chozi, tanx kudo900
 
Sidhani kama Tanzania tuna kituo cha watu kutimiza ndoto zao japo sina hakika

Watu kulike naomba nikwambie watu wengi sana wanapenda umbea umbea na vitu visivyo na maana and jukwaa hili wengi huwa wanapenda zile stor za kijasusi zaidi japo hilo ni kwa mtazamo wangu.

Lakini kuhusu bandiko ni kuwa ukiona pahali pameandikwa(Asalaam kudo) basi bandiko ni la huyohuyo kudo
 
Mkuu Kudo900 hii simulizi imenigusa sana though mie nina roho kama ya JIWE ila nimejikuta chozi limenitoka hasa simulizi ya joshua.... So emotional hadi nmejikuta najiuliza kma siku ninaweza kuwa malaika wa mtu mwenye uhitaji

Barikiwa sana

Ipo siku utakutana na mtu wa hivyo au wewe ndiwe utakuwa unauhitaji wa mtu kukupa faraja katika majaribu utakayokuwa unapitia

Kikubwa ni kuyafanya mema katika siku za uhai wako
 
Dah sina maneno zaidi.let have a commercial break,i will be back soon
 
Aisee nimesoma hii story mpka mwili umesisimka
 
MImi ni mmoja wapo mwenye kulipenda hili jukwaa la kijasusi mkuu
 
Ipo siku utakutana na mtu wa hivyo au wewe ndiwe utakuwa unauhitaji wa mtu kukupa faraja katika majaribu utakayokuwa unapitia

Kikubwa ni kuyafanya mema katika siku za uhai wako

Story zote tatu zimenifanya chozi kunitoka.barikiwa sana kwa kutuletea matukio kama haya na kutukumbusha ni nini sababu ya ya kwepo wanadamu kwenye hii dunia.(kwanini tunaishi)[emoji122]
 
Tujifunze kifanyika chanzo cha tabasamu Kwa wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…